{[['
']]}
Hii ni movie (sio series)nimetoka kuiangalia and now nimewaletea my PRO (personal ratings and opinion)
Kwanza my ratings 9/10 imekosa point moja well just because kuipata kumi yangu si rahisi 😄
The acting is SUPERB the storyline is AMAIZING I honestly love it ,alafu ma bebe zangu wawili wapo humu KIM WOO BIN,LEE(kama huwajui check my prev posts) HYUN WOO they did great kwa kweli.
So if you are lookin for kamovie kakuangalia this is it.
Nimeipata Dramanice.com IPO hata iheartdramas ila kwangu imegoma kuonyesha .
Warning!!! Nimeidownload ni 1GB rafiki usiende kama una bando la jero😢😢 Adios
Post a Comment