skip to main |
skip to sidebar

Hii ni movie (sio series)nimetoka kuiangalia and now nimewaletea my PRO (personal ratings and opinion)
Kwanza my ratings 9/10 imekosa point moja well just because kuipata kumi yangu si rahisi π
The
acting is SUPERB the storyline is AMAIZING I honestly love it ,alafu ma
bebe zangu wawili wapo humu KIM WOO BIN,LEE(kama huwajui check my prev
posts) HYUN WOO they did great kwa kweli.
So if you are lookin for kamovie kakuangalia this is it.
Nimeipata Dramanice.com IPO hata iheartdramas ila kwangu imegoma kuonyesha .
Warning!!! Nimeidownload ni 1GB rafiki usiende kama una bando la jeroπ’π’ Adios
Story,
{[['

']]}

Ndo jina lake
halisi,alizaliwa jully 16 1989 ,ni mwigizaji kule nyumbani ,alianza
kama model na baadae akaanza kuigiza, kazi zake ni pamoja na *school
2013 (9/10) *the heirs(8/10) *uncontrollaby fond (8/10)
(hizo namba ni my personal ratings za hizo series kwa wale ambao hawajaziona )
Sadly
mwaka huu woobin amegundulika na cancer ππ yupo under medication
though tunamuombea apone aendelee kutubariki mafans wake.
Ana urafiki wa karibu sana na mwigizaji mwenzake Lee jung suk
Btw girlsss he is taken πͺπͺ π ana girlfriend mwigizaji mwenzake anaitwa shin min a kama sikosei .
Soo huyo ndo woobin.adios #kworlders
Story,
{[['

']]}
Ndo jina la mrembo
wangu,alizaliwa October 24,1994 California marekani,lakini baadae
alirudi Korea na kuingia rasmi kwenye entertainment ,no mwigizaji na
mwanamziki was kundi linaitwa f(x) kule mahome,alianza kuimba 2009,na
baadae akaanza kuigiza kazi zake ni %The heirs %The bride of
habaek(water god) (mpyahii chekitout)
Story,
{[['

']]}
Posted by Anonymous
Posted on 11:13 PM
with No comments
Vijana wengi wanajikuta wanatumbukia katika matatizo mazito kama kupata
mimba mapema, utoaji wa mimba, magonjwa ya zinaa pamoja na maambikizi ya
virusi vya UKIMWI na UKIMWI, kwa sababu wanapokea zawadi bila ya
kujiuliza lengo la zawadi hizo.
Wanaume wengi wanatumia fedha kuwahadaa wasichana na wasichana wengine
wamezoea kupata fedha hizo kukidhi mahitaji yao ya maisha. Jambo hili
linaweza pia kuwapata wavulana kwani kwa maana kwamba wanawake watu
wazima hujaribu kuwatongoza wavulana wadogo. Hivyo basi ni muhimu kwa
wasichana na wavulana wote kwa pamoja kuwa waangalifu sana na zawadi
zinazotolewa. Ni vema wakati wote ujiulize nini lengo la zawadi hiyo.
Pia fikiria kuhusu faida na hasara ya kujamiiana kila unapokutana na
vishawishi mbalimbali. Ukikumbuka madhara ambayo unaweza kuyapata
itakupa nguvu na msimamo wa kusema “hapana” na kujiepusha na vishawishi.
Story,
{[['

']]}