{[['
']]}

Ndo jina lake halisi,alizaliwa jully 16 1989 ,ni mwigizaji kule nyumbani ,alianza kama model na baadae akaanza kuigiza, kazi zake ni pamoja na *school 2013 (9/10) *the heirs(8/10) *uncontrollaby fond (8/10)
(hizo namba ni my personal ratings za hizo series kwa wale ambao hawajaziona )
Sadly mwaka huu woobin amegundulika na cancer 😭😭 yupo under medication though tunamuombea apone aendelee kutubariki mafans wake.
Ana urafiki wa karibu sana na mwigizaji mwenzake Lee jung suk
Btw girlsss he is taken 😪😪 🙍 ana girlfriend mwigizaji mwenzake anaitwa shin min a kama sikosei .
Soo huyo ndo woobin.adios #kworlders
Post a Comment